Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unaizungumzia Charlie's Angels ile ya kwanza 2000s, kuna sehem niliona kuwa Charlie's Angels inatoka ya tatu tena mwaka huu, ila kuna wadada wengine kabsa tofaut na kina Diaz"We are Charlie's Angels" nakumbuka 2000s kwenye track 1 independent woman.Unaikumbuka movie ya kina cammron diaz na Lucy Liu.
Hili sakata nalifatilia,aise inasikitisha sana
Sana saaana Bro,Hili sakata nalifatilia,aise inasikitisha sana
Unaizungumzia Charlie's Angels ile ya kwanza 2000s, kuna sehem niliona kuwa Charlie's Angels inatoka ya tatu tena mwaka huu, ila kuna wadada wengine kabsa tofaut na kina Diaz