myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMeneja wa Kiba amesimamishwa kaziView attachment 1253039
[emoji818][emoji818]Ubuyu una kiwango kikubwa sana cha madini ya potasiamu.
SawasawaKutokana na uwepo wa madini haya kunapelekea ubuyu kuwa na faida kubwa katika afya ya moyo kwasababu huusaidia moyo kwa kiasi kikubwa kusukuma damu.
[emoji818][emoji818]ZIFUATAZO NI FAIDA ZA FENESI.
Ngozi ya FENESI yaani ile ganda lenye vipelevipele. Ukichemsha na kunywa utapata faida zifuatazo kiafya.
1)hushusha sukari mwilini kwa haraka sana.
[emoji818][emoji818][emoji818]Husaidia katika afya ya ngozi
Embe ni muhimu kwa ajli ya afya ya ngozi kwani lina beta-carotene ambayo mwili huibadili kuwa vitamini A na lina vitamini C kwa wingi ambazo zote kwa pamoja ni muhimu kwa ajili ya afya ya ngozi.
[emoji106][emoji106]Kumbuka! Afya njema ya ubongo inamaanisha uwezo mzuri wa kumbukumbu.