Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Am good, you?How are you feeling?
dada yangu kumbe unajua kiingilishi.Am good, you?
Sawa, na wewe utanifundisha kikoreadada yangu kumbe unajua kiingilishi.
waonaje ukanifungulia darasa ili niepuke kudhalilika mbele ya hadhira ya wasomi?
Ndio maana bila kukaza wakishua wewe utawezea wapiHahahaa ngoja nijaribu. Ila eti kaza roho hahaha
Naona unashindwa tu kusema nataka muamala wa matunda ππNaendelea vyema, ila matunda sijapataπ
umegeuka mfanya biashara ya siasa, hatoi kitu chake mpaka na yeye atimiziwe maslahi yakeSawa, na wewe utanifundisha kikorea
Nafurahi kusikia hivyo.....Naendelea vyema, ila matunda sijapataπ
πππππDaaah ninge kuja PM basi. Kizuri kula na mwenzioooo
ππππ mjomba nitumie hela ya bag sasajamani mumesha mnunulia depal mkoba na viatu vya kuendea UDSM?
nitaituma kwa mtandao wa likes pesaππππ mjomba nitumie hela ya bag sasa
Haha aiseeni kawaida kama mtihani wa necta mlianza na hesabu lazima kichwa kiume
Hmm afu me nitaitoaje?nitaituma kwa mtandao wa likes pesa
babu shimba atakusaidiaHmm afu me nitaitoaje?
Mtag ππbabu shimba atakusaidia
yule mzee hata ukimtag anakupotezea.Mtag ππ
ππ kumbe ndo maana kuna #andaeitini mmoja leo hayupo hapaMuda wa paper la Civics unakaribia.
ππ ukipenda muite SHIMBA YA MISAMBWANDAyule mzee hata ukimtag anakupotezea.
na usiombe awe na mzuka wa kupost makalio humu ndani, aigoooooo anakuwa hana utofauti na nyumbu