D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Duh!...myoyambendi ni keeee au meeeee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
njaa inasumbua mpaka nimesahau jinsia yako.Duh!...
Lakini nilikwambia tangu mwanzo Kama mbeya city itafungwa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa inaonekana anapenda ugali sana
babu shimba anakuogopa sana hivyo basi ili kuepusha dhoruba isimkute babu yetu tunakuomba umpunguzie dozi ya kichambo.Lakini nilikwambia tangu mwanzo Kama mbeya city itafungwa
Pole mkuu....dona limeshaliwa...sembe wanakula wa kusomanjaa inasumbua mpaka nimesahau jinsia yako.
mambo yanaendeleaje huko kwa wanaume zetu (Tanganyika ya zamani).
umeshajaza sembe tumboni mwako?
Hi programmernjaa inasumbua mpaka nimesahau jinsia yako.
mambo yanaendeleaje huko kwa wanaume zetu (Tanganyika ya zamani).
umeshajaza sembe tumboni mwako?
huko uliko husikii harufu ya wali kutoka kwenye computer yangu?Pole mkuu....dona limeshaliwa...sembe wanakula wa kusoma
programmer my ass.Hi programmer
Vilaza fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]babu shimba anakuogopa sana hivyo basi ili kuepusha dhoruba isimkute babu yetu tunakuomba umpunguzie dozi ya kichambo.
naomba kipigo chako umgeuzie yule mpenzi wa vilaza fc a.k.a man utd
anaitwa NUMBISA
huyo NUMBISA NDIYE WAKUMSHIKA.Vilaza fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Manchester ni bureee[emoji2788][emoji2788]
Numbisa
Haha ukiwa tayari utafika tu.programmer my ass.
hiyo heshima unayonipa natamani niwe nayo kweli lakini bado sijawa tayari.
ucheza umekuwa mwingi sana
Uhuru pia ni dikteta (uchwara)?