D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
asiwe bingwa wa kushika kitambi cha mke wake tu, pia awe bingwa wa kumsafisha mtoto wake atakapozaliwa
asiwe bingwa wa kushika kitambi cha mke wake tu, pia awe bingwa wa kumsafisha mtoto wake atakapozaliwa
hapo ndipo unaponikera mpaka nakuita muhuni wewe.We subiri tu ngoja kwanza nimalize kuangalia The Great Seer. Usianze sasa kunichamba eti naangalia drama zenye umri sawa na Depal
😂 😂 😂YANGA WAMEKATA RUFAA CAF SABABU:SIMBA WALIKUWA WANAFUNGWA 5 WANAENDELEA VYURA KAPIGWA 3 KATOLEWA [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂 😂 😂-Tarehe 3
-Usiku wa saa tatu
-Mechi imeanza saa 3
-Wamefungwa 3
-Tunaamkia J 3
[emoji2957][emoji2946]
[emoji23][emoji23][emoji23]SHIMBA YA BUYENZE huyu mjukuu kutoka mbeya kumbe ligi haiwezi.
kumbe na yeye ni mshabiki wa ronaldoooooo kama numbisa.
ameshaharibu mpambano.
sisi mapromotaaa tulishaweka mzigo mkubwa sana wa hella
kama mayweather na manny pacquiao
hapo ndipo unaponikera mpaka nakuita muhuni wewe.
greet seer unataka kuwa mganga?
kwa heri bidada.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi namshabikia mo salah.
Sio shabiki wa Messi Wala cr7..ila katika hao wawili,Bora hata cr7 kidogo
Sawa Hawa wanashangaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].kuna watu yanga inawakera sanaaa, lakini ccm inawafurahisha sanaaaa
moudgulf na ndugu yake myoyambendi
Ukitaka kuona muziki wake we anzisha mpambano dhidi ya Livapuu...Haya mengine nadhani anarashia rashia tu.SHIMBA YA BUYENZE huyu mjukuu kutoka mbeya kumbe ligi haiwezi.
kumbe na yeye ni mshabiki wa ronaldoooooo kama numbisa.
ameshaharibu mpambano.
sisi mapromotaaa tulishaweka mzigo mkubwa sana wa hella
kama mayweather na manny pacquiao
Hahahahaha...kwa hiyo mnataka nimuuze Numbisa?[emoji12][emoji1787][emoji1787].kwa heri bidada.
umeitupa nafasi nzuri sana ya kumkalisha mpinzani wako.
ndio unazidi kuharibu.Sawa Hawa wanashangaza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Bora mie naipenda yanga