D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
halafu nimegundua kama itatokezea mmoja wenu ( wewe au numbisa) mukashabikia liverpool basi yeye atashabikia man utd au arsenal.Ukitaka kuona muziki wake we anzisha mpambano dhidi ya Livapuu...Haya mengine nadhani anarashia rashia tu.
anajua hata akifungwa hamumuwezi kwa fujo lake😛😛😛