Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SHIMBA YA BUYENZE huyu mjukuu kutoka mbeya kumbe ligi haiwezi.
kumbe na yeye ni mshabiki wa ronaldoooooo kama numbisa.
ameshaharibu mpambano.
sisi mapromotaaa tulishaweka mzigo mkubwa sana wa hella
kama mayweather na manny pacquiao
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi namshabikia mo salah.
Sio shabiki wa Messi Wala cr7..ila katika hao wawili,Bora hata cr7 kidogo
 
SHIMBA YA BUYENZE huyu mjukuu kutoka mbeya kumbe ligi haiwezi.
kumbe na yeye ni mshabiki wa ronaldoooooo kama numbisa.
ameshaharibu mpambano.
sisi mapromotaaa tulishaweka mzigo mkubwa sana wa hella
kama mayweather na manny pacquiao
Ukitaka kuona muziki wake we anzisha mpambano dhidi ya Livapuu...Haya mengine nadhani anarashia rashia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…