D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
halafu nimegundua kama itatokezea mmoja wenu ( wewe au numbisa) mukashabikia liverpool basi yeye atashabikia man utd au arsenal.Ukitaka kuona muziki wake we anzisha mpambano dhidi ya Livapuu...Haya mengine nadhani anarashia rashia tu.
mafahari wawili hawakai zizi mojaHahahahaha...kwa hiyo mnataka nimuuze Numbisa?[emoji12][emoji1787][emoji1787].
Ohoooo...[emoji23][emoji23][emoji23]ndio unazidi kuharibu.
numbisa na yeye anashabikia yanga na timu ya mbeya
mwakani fedha zipo nyingi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio nataka nipige hela ndio kazi pekee inayolipa awamu hii
Nipo kamanda. Asante kwa kututembelea na huku .Mkuu upo.
si anasema mumesoma pamoja, mbona unamwita kamanda na si rafikiNipo kamanda. Asante kwa kututembelea na huku .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].halafu nimegundua kama itatokezea mmoja wenu ( wewe au numbisa) mukashabikia liverpool basi yeye atashabikia man utd au arsenal.
anajua hata akifungwa hamumuwezi kwa fujo lake😛😛😛
Ila kwa namna yoyote nitahakikisha siwi upande mmoja na Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23]mafahari wawili hawakai zizi moja
moudgulf unaitwa hukuuuuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yule Kaka yangu wa Liverpool alitaka anisumbue eti Simba wameshinda Jana.
Sasa Simba wamecheza na mbeya city halafu wanashangilia kushinda!?!
Dah Simba bhna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukitaka kuona muziki wake we anzisha mpambano dhidi ya Livapuu...Haya mengine nadhani anarashia rashia tu.
ndio maana nikakwambia usimshabikie ronaldo ukiwa humu JF.Ila kwa namna yoyote nitahakikisha siwi upande mmoja na Numbisa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mwakani fedha zipo nyingi sana.
cha muhimu tafuta kijungu na mkia wa ng'ombe
Ni sawa na Mimi Leo na ubibi wangu huu wa miaka 30 nikapigane na mtoto wa miaka miwili..moudgulf unaitwa hukuuuuu.
unacheza na vilaza halafu unajisifu
Kamanda, rafiki, mkuu, mpendwa yote mamoja tu...si anasema mumesoma pamoja, mbona unamwita kamanda na si rafiki
ndio maana nikakwambia usimshabikie ronaldo ukiwa humu JF.
kwa sababu CR7 ni mjomba wake numbisa de la mwanzaaaa
sasa mbona numbisa anasema umezaliwa mwaka 2000 kama karne ya 21.Ni sawa na Mimi Leo na ubibi wangu huu wa miaka 30 nikapigane na mtoto wa miaka miwili..
Halafu naanza kushangilia kwamba nimempiga
Na atakoma haswa..sasa mbona numbisa anasema umezaliwa mwaka 2000 kama karne ya 21.
kweli numbisa analazimisha uwe mpinzani wake mpaka anakushusha umriiiiiii.
leo atakoma
Duh I wish on day nishike Ferrari langu....