Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tokea lini mwanafunzi akawa sunbae.
mimi ni hoobae na wewe mwalimu ni sunbae.
acha kumdanganya depal dharmendra, bibi harusi aliyechumbiwa kwa sungura 30
Hivi avatar huwa unabadili kila baada ya muda gani? Asubuhi nimekuona na mdada sijui nani yule, mchana nikakuona na Ji Chang Wook sasa hivi upo na huyo alien sijui hata nini anafanya
 
Nikweli bro....View attachment 1253943

Nimeisikia hapa nimemkumbuka uncle wangu (RIP) alikua anaipenda sana
Pole sana bro. Apumzike kwa amani mjomba huko aliko...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] 1991 ulikuwa bado hujazaliwa? You guys are real young. Mwaka huo wengine tunamalizia shahada za uzamili [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…