D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
davet unasalimiwa.Labda Ronaldo
Huyo mwingine mnampa bichwa tu.
Ndio THKing unafuga hawa.?
Sure! Hawawezi kuwareplace % ila kwa aina ya wachezaji waliopo ulimwengu wa sasa ukitoa hao wawili afadhali kidogo hao kina Neymarneymar ana miaka 28 halafu mwili ameuachia sana jambo linalomfanya apate majeruhi ovyo.
mbadala wa messi na ronaldo hapa duniani hawapo
upo sahihi brother.Sure! Hawawezi kuwareplace % ila kwa aina ya wachezaji waliopo ulimwengu wa sasa ukitoa hao wawili afadhali kidogo hao kina Neymar
Hahah! Alafu hapo atakuambia ata mpira hajawahi kuangalia, SYB aliniambia nisibishane na watu kutoka Mbeya maana yeye amepata tabu sanadavet unasalimiwa.
mimi nimeshakufa
Wikend ijayo anne kazini uwiiiiiiKama umesahau basi kumbuka kwamba wikiendi ijayo kutakuwa na shughuli pevu katika dimba la Anfield kati ya Liverpool na ya Manchester City. Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameanza kuelekeza vijembe kwa wapinzani wake hao.
Labda mbappe anaweza wafikiaSure! Hawawezi kuwareplace % ila kwa aina ya wachezaji waliopo ulimwengu wa sasa ukitoa hao wawili afadhali kidogo hao kina Neymar
Griez angebaki tu atleko kwanza hapo tayari ana world kap angerithika tu na hilo kombe kuliko kujipeleka asipotakiwa kisa kikombe cha la liga na uclSiulimsikia juzi Pique anasema chaguo lilikua ni Neymar yani walikua tayari wakatwe posho zao ili jamaa atue Katalunya lakini PSG walikunja, Coutinho alikua low sana naona ndio wakaingia mkenge kwa Griez
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahah! Alafu hapo atakuambia ata mpira hajawahi kuangalia, SYB aliniambia nisibishane na watu kutoka Mbeya maana yeye amepata tabu sana
Shughuli gani Sasa hapo dada?Kama umesahau basi kumbuka kwamba wikiendi ijayo kutakuwa na shughuli pevu katika dimba la Anfield kati ya Liverpool na ya Manchester City. Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameanza kuelekeza vijembe kwa wapinzani wake hao.
Ukiona perez akitambulosha mchezaji mpya huku anacheka jua jamaa ni kiboko ila akiwa anatabasamu au kanuna basi hamuamini mchezaji husikaswadakta.
perez amekaa kimya muda huu, anasubiri el classico
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mie hater wa timu zote sina pa kushika hio weekend atakaefungwa namcheka vizuri tuShughuli gani Sasa hapo dada?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona matokeo tunayo tayari jamani..[emoji23][emoji23]
Huyo kocha muache aelekeze Sana hivyo vijembe,Maana vitamlima mwenyewe[emoji23][emoji23]
Chagua upande mmoja[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mie hater wa timu zote sina pa kushika hio weekend atakaefungwa namcheka vizuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aone cole hapaLabda Ronaldo
Huyo mwingine mnampa bichwa tu.
Mie man u dam dam.Chagua upande mmoja[emoji1787]
Uko vizuri, hongeraa...Ndio TH