D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ulipo nipooooo.Naomba niwajue man City mapema[emoji1787][emoji1787][emoji8]
Aje tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cole huwa habishani kwa maneno ana vipicha vya kukera hahaha
haahhaa mkifungwa itakua raha kwa the donHuyu Davet wiki ijayo nitakuwa naye[emoji23][emoji23]
Mmezungusha Nunge juzi[emoji23][emoji23]Jamani iache man u yangu uwiii
πππππ sipati picha hiyo siku mimiπ€Yegomasika Davet Bradha The Happiness mkwepu jr [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
kwa mziki wa huyu bidada hizo picha zitakuwa nzito kuliko ukuta wa berlinCole huwa habishani kwa maneno ana vipicha vya kukera hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ulipo nipooooo.
ngoja nikutajie mashabiki wa man city na mapemaaaaa.
naomba uwaandalie speech nzito kuliko ya magufuliiiiiiii
- shimba ya buyenzeee le kiunooo
- numbisa
- davet
- capitalpool
- the happiness
- depal
Huyu #1 nitampumzisha[emoji23][emoji23][emoji23].ulipo nipooooo.
ngoja nikutajie mashabiki wa man city na mapemaaaaa.
naomba uwaandalie speech nzito kuliko ya magufuliiiiiiii
- shimba ya buyenzeee le kiunooo
- numbisa
- davet
- capitalpool
- the happiness
- depal
Hahahahaa siku bomba sana ilifaa carbamazepine angeitumia kubet moyoπππππ sipati picha hiyo siku mimiπ€
Nani wafungwe?haahhaa mkifungwa itakua raha kwa the don
Eeh huyo ndo mwakilishi wa Man city kwenye huu uzi...ππππHuyu Davet wiki ijayo nitakuwa naye[emoji23][emoji23]
Of course Mbappe is doing great pia anaweza kujitahidi tahidi kusogelea japo geti la hao majamaaLabda mbappe anaweza wafikia
Kubishana na mtu asiyefahamu soka kazi sanakwa mziki wa huyu bidada hizo picha zitakuwa nzito kuliko ukuta wa berlin
Wewe je?[emoji1787]Eeh huyo ndo mwakilishi wa Man city kwenye huu uzi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ ππ mechi ilivyo ngumu hiyo asingejaribu tenaaHahahahaa siku bomba sana ilifaa carbamazepine angeitumia kubet moyo
huyo namba moja ndiye kiherehere mwenyewe kama mfuko wa shati la kangi lugolaHuyu #1 nitampumzisha[emoji23][emoji23][emoji23].
Hawa wengine kwa kweli wajiandae[emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu nilikuwa nishampatia matokeo juzi.Hahahahaa siku bomba sana ilifaa carbamazepine angeitumia kubet moyo
Nimelielewa vizuri sana....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] SYB umeelewaje hili bango, nina mashaka hujalielewa
Kumbe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo namba moja ndiye kiherehere mwenyewe kama mfuko wa shati la kangi lugola
Mimi huwa nagawa vinywaji tukishinda na leso tukifungwaππWewe je?[emoji1787]