Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kama Elimu gharama fikiri kuhusu Ujinga
Aaa waaow kuwa serious nikuonee wivu zaidiZangu zinakaribia hapoo[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]
Vipilipili tupo wengi. Sijui tuna asili ya akina bushmanUnywele unatamanisha sana. Mimi zangu ni kipilipili kuchana kwangu ni mtihani.
Gari ya Taifa acha iongoze maana inaokoa sana