Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbali na manahodha hao wa Kenya na Tanzania, naye Saido Berahino aliwahi kufunga, Anfield lakini hakuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Burundi, kipindi hicho alikuwa akilitumikia taifa la England upande wa vijana.
 
MAMBO BADO

Wakiwa wamesaliwa na michezo miwili mbele yao. Samatta anajukumu zito mbele yake ya kuisaidia KRC Genk kuhakikisha walau wanamaliza katika nafasi ya tatu ya msimamo ya kundi leo E ili kupata nafasi ya kucheza Europa Ligi katika hatua ya 32 bora.
 
Michezo miwili iliyosaliwa kwa KRC Genk ni dhidi ya Napoli utachezwa ugenini Italia na watamaliza nyumbani dhidi ya Salsburg. Timu mbili zitakazomaliza katika nafasi ya kwanza na pili katika kila kundi husonga mbele katika hatua ya mtoano.
 
"Kuhusu Milioni 50 kwa kila kijiji, nadhani ilieleweka vibaya, msimamo wa Serikali ni kuitekeleza ahadi hiyo, lakini haikuandikwa kokote kuwa zitatolewa fedha na kupewa Wanakijiji, Serikali ililenga kupeleka fedha katika Vijiji ili kuviletea maendeleo ndo maana kuna Hospitali zinajengwa Vijijini zenye thamani ya zaidi ya Million 50"-Dkt.Hassan Abbasi, Msemaji Mkuu wa Serikali
 
Back
Top Bottom