Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ile ya draft[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππ Aya tunaenda Lunch
Hahah tena ndio utafunga na Kengeleππππππ Aya tunaenda Lunch
Mimi nilikuwa na nywele nyingi enzi za shule ya msingi kuna kiumbe kanipiga kipapai hazioti kisogoniπππMie nasuka .Bado na matumaini zitajaa tu siku moja
Gari ya Taifa acha iongoze maana inaokoa sana
Hahaha eti kiumbe. Ni pozi la kulala ndo linasababishaMimi nilikuwa na nywele nyingi enzi za shule ya msingi kuna kiumbe kanipiga kipapai hazioti kisogoniπππ
Kuna msikiti niliwahi kwenda nikakuta ndala zote za chooni wametoboa kama hiviππππ
Hapana mpendwa mimi nalala ubavu silalii kisogo.Hahaha eti kiumbe. Ni pozi la kulala ndo linasababisha
Hee kumbe. Wengi zinagoma kuota kisogon sababu hio pia lile pozi maarufu la kuchat ukiwa umelala kwenye kochi,kitanda au zulia basi linasababisha zaidiHapana mpendwa mimi nalala ubavu silalii kisogo.
ππππYaani umenifanya nikae vizuri kweli nilikuwa kwenye kochi.Hee kumbe. Wengi zinagoma kuota kisogon sababu hio pia lile pozi maarufu la kuchat ukiwa umelala kwenye kochi,kitanda au zulia basi linasababisha zaidi
ππ sina huo ubavu, ukiona draft hapo ujue nilienda homeIle ya draft[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuonea huruma.πππππππ rudisha nione
πππππππππ daah!Hahah tena ndio utafunga na Kengeleππππ
Fanya hivyo sasa Ester aaminiHahah tena ndio utafunga na Kengeleππππ