Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hichi si kitu cha ajabu kutokea katika dunia hii, hata unaowasikia wamefanikiwa na wao wana misingi ya kifalsafa wanaiishi ndio maana wapo pale walipo kwa kupitia misingi waliojiwekea ipo katika mfumo wa nyanja za maisha ya kila siku tunayoishi, nayo ni kama ifuatavyo;
 
Kiuchumi – Hapa unatakiwa kuweka misingi maalumu kwa ajili ya kujiinua au kujikwamua kiuchumi. Misingi ambayo itakusaidia kufikia malengo ya kiuchumi kupitia kazi, biashara ama uwekezaji unaofanya. Ukishaweka misingi mizuri ya kiuchumi isimamie na usikubali kurudi nyuma cha kufanya ipende na itakupeleka katika mafanikio ambayo ndio hekima ya utatuzi wa tatizo lako ambapo lengo lako ni kuukimbia umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…