Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama misingi mingine tuliokwishajifunza hapa napo unahitaji kujua wewe kama mpenda siasa una misingi gani katika siasa. Tafuta msingi au misingi unayoweza kuisimamia na ifanyie kazi na itakufikisha katika kile unachokitaka. Hapa ni pagumu wengi huwa wanaanguka kwa kukosa uadilifu, hivyo angalia kwa makini sana misingi unayoweza kuiishi.