Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama misingi mingine tuliokwishajifunza hapa napo unahitaji kujua wewe kama mpenda siasa una misingi gani katika siasa. Tafuta msingi au misingi unayoweza kuisimamia na ifanyie kazi na itakufikisha katika kile unachokitaka. Hapa ni pagumu wengi huwa wanaanguka kwa kukosa uadilifu, hivyo angalia kwa makini sana misingi unayoweza kuiishi.
 
Kama ni usawa kwa watu wote, kama ni utetezi wa kijinsia au uanaharakati tafuta mahala ambapo ukisimama utakuwa bingwa kwa hekima za falsafa utakazokuwa unatumia jukwaani, umahiri utakulipa kwa kutumia misingi utakayoiishi kwani hiyo ndio itakuwa sifa zako.
 
hivi ndivyo unavyoweza kuishi kifalsafa na ukafikia malengo yako katika maisha kwa jinsi ulivyopanga wewe na njia gani utatumia kufanikisha mipango hiyo ila kumbuka falsafa ndio njia ya kupenda hekima itakayokuwezesha kufikia hekima ya mafanikio yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…