Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1573132752439.jpeg
 
SINEMA inaendelea pale Emirates. Granit Xhaka amevuliwa kitambaa cha unahodha rasmi na sasa kimekwenda kwa mshambuliaji staa wa timu hiyo, Pierre-Emerick Aubameyang ambaye alivaa kitambaa hicho katika pambano dhidi ya Wolves wikiendi iliyopita.
 
Huu ni mwendelezo wa kuchafuka kwa hali ya hewa baada Xhaka kugoma kuomba msamaha kwa mashabiki wa Arsenal baada ya kuonekana akiwakejeli na kutukana wakati walipomzomea alipokuwa akitolewa nje katika pambano dhidi ya Crystal Palace.
 
Back
Top Bottom