Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Arsenal, Unai Emery amechukua maamuzi hayo magumu huku pia akimuacha nyumbani staa huyo katika pambano la Europa dhidi ya Vitoria Guimaraes lililotazamiwa kuchezwa jana Jumatano Ureno na ameshindwa kumhakikishia hali yake ya baadaye.
 
Jumanne Unai alimwambia Xhaka hataiongoza tena klabu hiyo uwanjani kutokana na mgogoro wake na mashabiki wa Arsenal na licha ya kumwambia awaombe radhi mashabiki wa Arsenal lakini staa huyo aligoma na badala yake alitoa maelezo tu ya namna alivyokerwa na mashabiki kiasi cha kufanya alichofanya.
 
Xhaka alikuwa nahodha wa Arsenal kufuatia uteuzi uliofanywa kwa kura za wachezaji wa Arsenal lakini sasa Aubameyang ambaye alikuwa nahodha wa pili amepewa kitambaa rasmi ingawa jana hakusafiri na kikosi hicho na nafasi yake ya unahodha ilikwenda kwa beki wa kulia, Hector Bellerin.
 
Emery ambaye amemuondoa rasmi Xhaka kwa mechi tatu mfulilizo alisema: “Nilikuwa nazungumza naye leo asubuhi na nimeamua hatakuwa nahodha miongoni mwa makundi la manahodha wetu. Nimemwambia leo asubuhi (juzi) na amekubali. Pia nimewaambia manahodha wetu wengine kuhusu maamuzi hayo. Sasa tuna Aubameyang, Hector, Lacazette na Ozil.
 
Emery ambaye amemuondoa rasmi Xhaka kwa mechi tatu mfulilizo alisema: “Nilikuwa nazungumza naye leo asubuhi na nimeamua hatakuwa nahodha miongoni mwa makundi la manahodha wetu. Nimemwambia leo asubuhi (juzi) na amekubali. Pia nimewaambia manahodha wetu wengine kuhusu maamuzi hayo. Sasa tuna Aubameyang, Hector, Lacazette na Ozil.
 
Yanauzwa gharama? Unaweza kutengeneza wewe mwenyewe nyumbani, fuata hatua hizi zifuatazo:

1. Nunua nazi idadi utakayo
2. Pasua nazi na ukune na mbuzi
3. Chukua nazi uliyopata isage na maji kiasi kidogo kwenye blenda na ukamue upate tui Zito jingi
4. Chukua hilo tui weka kwenye chombo kisafi kikubwa au hata kwenye sufuria, funika na kitambaa (nguo yoyote Safi) na uache hivyo ipumzike kwa masaa 24
5. Kesho yake utaona maji yamebaki Chini na juu kuna layer kubwa ya tui lililoganda, chukua tui hilo la juu lililoganda na uweke kwenye sufuria nzito, weka kwenye moto kama dakika 6 hivi tayari umepata mafuta ya nazi.

Hakikisha yasiunguwe, chuja endelea kutumia mafuta yako.
MAFUTA YA NAZI ASILIA KUTOKA ZANZIBAR YANAPATIKANA KWA TZS. 10,000 500ML (NUSU LITA)
NITAFUTE KWENYE NAMBA: 0757 128 291
 
Mkataba wa Xhaka unatarajiwa kumalizika mwaka 2023 na sasa ana vita nzito ya kurudisha uhusiano mwema na mashabiki wa timu hiyo ambao tangu awali walikerwa na maamuzi ya Unai Emery kumpa kitambaa cha unahodha klabuni hapo.
 
Alipoulizwa kama Xhaka ataichezea tena timu hiyo alijibu: “Kitu cha msingi katika hali ya baadaye ni kwa Arsenal yenyewe na wachezaji waliopo hapa na makocha waliopo hapa (akimaanisha Guimaraes) tunahitaji muhimili, Xhaka ni mmoja kati ya wachezaji wetu na tunataka kumheshimu na kumlinda na kuendelea hivyo. Kwa sasa hayupo katika kundi letu lakini maamuzi yangu ni kama niliyowaambia,” alisema Unai.
 
Kama nilivyosema baada ya usiku wa mechi ile (dhidi ya Palace) wakati mwingine ni vigumu kuhimili hisia kama zile. Alifanya makosa lakini katika vyumba vya kubadilishia nguo inabidi tuwe wamoja. Haya mambo huwa yanatokea na ndivyo ilivyo. Tuko nyuma yake. Kwa sasa anafanya jithada zake,” alisema Bellerin.
 
Tunawaheshimu wachezaji, tunaheshimu maamuzi ya kocha na ya klabu. Kwetu sisi inabidi tumuonyeshe upendo na kumjali. Ni mwenzetu kwahiyo tutamsaidia kupita katika kipindi hiki kigumu,” alisema Bellerin ambaye ni mmoja kati ya wachezaji wa muda mrefu katika kikosi cha Arsenal.
 
49741168_2249726735305496_501405610419197379_n.jpg
 
Back
Top Bottom