Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Walakum msalam, khefi hali?Asalaam Alyeikum
Yes niling'oa, mtu meno πinaonekana ni mpiganaji kweli ndio maana ukafurahi,
halafu uliwahi kuropoka siku moja humu ndani eti ulimpiga mpinzani wako mpaka ukamng'oa meno matano.
hongera sana commando vigogoYes niling'oa, mtu meno π
Huyu ndio Hawa ninayemjua.Yes niling'oa, mtu meno π
Siku nikigombana na mzenji sijui itakuwaje naweza ngo'a meno yote maana nguvu hawana urojo unawalegeza mno πππhongera sana commando vigogo
Naona umekuja na mzigo mpyaπππ
nina wasiwasi huenda yeye ndiye aliyepewa kichapo na mpinzani wake.Huyu ndio Hawa ninayemjua.
#wekaMbaliNaWatoto
thubutu,Siku nikugombana na mzenji sijui itakuwaje naweza ngo'a meno yote maana nguvu hawana urojo unawalegeza mno πππ
Mpendwa why hukutokea siku ile kunywa supu vingunguti.Huyu ndio Hawa ninayemjua.
#wekaMbaliNaWatoto
Mpendwa unaongea na mimi au simu πππthubutu,
utapigwa kwa maneno kwanza mpaka uchakae.
una nini bibi kizeeee unataka kushindana na mtoto wako, macho mabayaaaa kama mwanga aliyeanguka na ungo.
miguu imechoka kama spoki za baskeli.
kwendraaaaaaa
cute moudgulf mfuga nyoka kama nabii mussa a.k.a moses