Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro Naona kabisa jinsi gani upo kwenye mchakato wa kupeperusha ndege wa mdogo wako ....

Bro Naona kabisa jinsi gani upo kwenye mchakato wa kumwagia kitumbua mchanga mdogo wako nisile....

😀😀
 
Hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawezi kupeperuka bro.
Ila ikibidi wahenga wataingilia kati kukusaidia majukumu.
Maana isije ikaonekana kijana wetu unaanza kuiparamia mibuyu mithili ya mjusi anavyolipakata gogo wakati nduguzo waliokuzidi mbinu na maarifa wana uwezo wa kila aina wa mambo hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bro Naona kabisa jinsi gani upo kwenye mchakato wa kupeperusha ndege wa mdogo wako ....

Bro Naona kabisa jinsi gani upo kwenye mchakato wa kumwagia kitumbua mchanga mdogo wako nisile....

[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…