myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni wasafiri wote..mfike salama
Naona kabisa unataka kunifanyia ubaguzi wa umri 😀😀😀Aaah wapii
#kwaSautiYaWcb[emoji23][emoji23]
Safi sana nashukuru MunguPoa sana dave
Habari ya jumatatu
Hivi man City mbona mlijificha wote Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poleni walezi wetu..
Poleni wakulima wote..
Poleni wasafiri wote..mfike salama
Poleni wafanyakazi wote..
Poleni wagonjwa wote....
Aisee..