moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moja kati ya vyama vikongwe, ila kwa bahati mbaya hakijawahi kupata mbunge wala diwani tangu enzi za uhai wake wa miaka 27
Za huku kwetu ni poa sana.Kwema, mzima.
Habari za kwenu Ohsterbay
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma sanaaa
Za huku kwetu ni poa sana.
Sijui huko
Si kheri kife tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila kupepesa macho; Man City shwaini zenu. Kuchekwa na hawa akina Saint anne kutaisha lini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1259940