Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e2cdc2e4-c56f-48d9-bf69-175ff2deb5e0.jpeg
 
Heshima yako bro, Hope unaendelea vyema na majukumu yako, Mungu akufanyie wepesi kwenye kila hitaji lako [emoji120][emoji120]
Amen bro. Heshima hiyo ikurudie kama upepo wa kisulisuli. Mi niko poa japo hapo kati kidogo vimisukosuko vilikuwa vingi. Wewe huko kwako vipi? Pole sana kwa kipigo cha mbwa koko cha jana bro...Livapuu siyo watu !!!
 
Back
Top Bottom