Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I'm so glad you made time to see me
How's life, tell me how's your family?
28afadd52d997518c8f411615b11261f.jpeg
 
Pole sana bro, ndio maisha yenyewe hayo, matatzo tumeumbiwa binadamu, huku mimi nipo salama kabsa, uzima upo bro..

Kuhusu kipigo, kile kilikuwa cha kina King na Bradha.. Huku kwetu tulisherehekea ushindi wa nguvu kabsa(United fan)

Oooh! Nilichanganya madesa. Kumbe wewe upo pamoja na Binti Mpole na Capital. Angalau jana mlipumua kidogo. Sisi Aseno tushazoea vipigo mpaka jana tukawa tunawashangaa akina Davet na malalamiko yao yasiyo na kichwa wala miguu [emoji16]
 
Nikweli!

Sasa inatakiwa ajue kuzishinda hisia zake maana kwajinsi hali ilivyo sasa hivi atakua anafanyiwa sub mara kwa mara pale timu inatakiwa kupata matokeo na kuwapa nafasi vijana kama Dyabala
Ni kweli bro,ni muda wa vijana kuonesha vitu vyao..

Moto wa Inter unauonaje msimu huu bro?combination ya Conte na Lukaku inanitia presha
 
Back
Top Bottom