Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi Fragaria alishapatikana?
2019-06-03%2014.50.06%202058082769620603935_1636540191.jpeg
 
Amen bro. Heshima hiyo ikurudie kama upepo wa kisulisuli. Mi niko poa japo hapo kati kidogo vimisukosuko vilikuwa vingi. Wewe huko kwako vipi? Pole sana kwa kipigo cha mbwa koko cha jana bro...Livapuu siyo watu !!!
Pole sana bro, ndio maisha yenyewe hayo, matatzo tumeumbiwa binadamu, huku mimi nipo salama kabsa, uzima upo bro..

Kuhusu kipigo, kile kilikuwa cha kina King na Bradha.. Huku kwetu tulisherehekea ushindi wa nguvu kabsa(United fan)
 
Kabsa aise, sio jambo zuri ikizingatia ni mchezaji mkubwa, wengi wanamtizama, nidhamu mbovu kabsa.. Nafikiri alikuwa amepaniki tayal
Nikweli!

Sasa inatakiwa ajue kuzishinda hisia zake maana kwajinsi hali ilivyo sasa hivi atakua anafanyiwa sub mara kwa mara pale timu inatakiwa kupata matokeo na kuwapa nafasi vijana kama Dyabala
 
Back
Top Bottom