Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msaada wa kimawazo unahitajika naona mwaka unaenda kuisha vibaya upande wangu kwa kushinikizwa kufanya maamuzi ambayo hata Mimi naogopa.
 
mfilisti mzee wa VAR 😊😊
2207706_IMG_20191109_102629_6_1573284432576.jpg
2184846_tapatalk_1571239984411.jpeg
2184847_IMG_20191016_184435.jpg
images (5).jpeg
 
Ni changamoto ya hali ya juu sana.
Ilishanitokea
mshua niligombana naye vikali mpaka akasema siyo baba yangu tena[emoji16].
Bi mkubwa aliyekuwa upande wangu naye akanikataa[emoji87]. Niliathirika kisaikolojia.
Una kazi ya kuwashawishi wamuelewe, la sivyo mambo yatakuwea magum tu.
 
Back
Top Bottom