Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna prof mmoja eti alikuwa anaogopa kutembea ati atakanyaga microorganisms ardhini.
Screenshot_20191109-091223~3.jpeg
 
Ni changamoto ya hali ya juu sana.
Ilishanitokea
mshua niligombana naye vikali mpaka akasema siyo baba yangu tena[emoji16].
Bi mkubwa aliyekuwa upande wangu naye akanikataa[emoji87]. Niliathirika kisaikolojia.
Una kazi ya kuwashawishi wamuelewe, la sivyo mambo yatakuwea magum tu.
Mwisho ulifanikisha kuoa au ulifuata matakwa ya wazee.?
 
BabaMorgan inategemea kama sababu wazazi wako wanazozitoa zina tija.

Unajua sisi tukishapenda wengi tunakuwa blind hata kasoro za wapenzi wetu hatuwezi kuziona kwa sababu tupo kwenye dimbwi la mahaba.

Watu wa nje wana nafasi kubwa sana ya kujua tabia za mpenzi wako. Sasa wewe ni jukumu lako kufuatilia kujua kwanini hakubaliki.
 
Back
Top Bottom