moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwa miguuWakuu weekend inaendaje
😂😂😂ADUI MUOMBEE NJAA
ADUI MUOMBEE DHORUBAaaaaaaa
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
![]()
Bei ya unga wa sembe yapanda kwa 50%
Wadau, Huku kwetu nilikuwa ninanunua unga kiroba cha kilo 5 kwa Tsh. 5,000. Jana nimeenda kununua sehemu ileile, kiroba kinauzwa Tsh. 8,000. Hivi bei ya unga imepanda huku kwangu tu au nchi nzima? Si tumeambiwa kuwa tunayo mahindi ya kutosha hadi tunataka kuuza nje? Tunaelekea wapi katika...www.jamiiforums.com
Ulivyomalizia umeniua kabisa 😂😂Hahah, asante kwa salamu mdada mzuri, hopeful uko salama! Ukawe na jumamosi njema
:• Mimi wako Singa singa[emoji23][emoji23]
Wali maharageee 😋😋😛 😛 😛 😛
kuleni waliiiiiii na urojooooo
mwanamke anapaswa awe mlaini bibieeeeWali maharageee 😋😋
Hapa nilipo laini nikila na ulojo itakuwaje 😂
Mods 🙆🙆Numby anatumikia kifungo [emoji17]
Me msukuma bana lazima nikuwe mgumu 😂😂mwanamke anapaswa awe mlaini bibieeee
unataka uwe mgumu kama gogo la muembe?
Niliwashawishi wakaelewa hatimaye mambo yakaenda sawa.Mwisho ulifanikisha kuoa au ulifuata matakwa ya wazee.?
huyo babu ndiye chanzo cha kukufanya uwe mjinga.Me msukuma bana lazima nikuwe mgumu 😂😂
Babu aone hiyo
Saved.Woyooooo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1258146
Una matani na babu yangu 😂😂huyo babu ndiye chanzo cha kukufanya uwe mjinga.
achana naye kabla ya jua kuzama
babu yako amekwisha, amebaki kula kwa macho kama jongooUna matani na babu yangu 😂😂
🙏 🙏Twenty twenty loading
Mwenyezi Mungu atuvushe salama 'twenty nineteen 🙏