SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,076
- 13,953
Pole sana ndugu yangu.Single mother.
Kuna maneno mengine huwezi kumwambia mpenzi wako yanayosemwa na ndugu,jamaa na marafiki; ila
1. Kumuoa mwanamke aliyezalia home au aliyeachwa. Yataka moyo sana na kuziba masikio kabisa.
Narudia, mkipendana ziba masikio kabisa. Ila uwe tayari kwa yatakayotokea hasa chanzo atakapokua huyo mwanamke, hutapata msaada wa tatizo lako kutoka kwa ndugu, jamaa na wengine.
2. Nilivyoshuhudia ndugu walivyomsumbua na kumsema mabaya mjomba!
Yaani hata nikimpata mwanamke ambaye ameshazalishwa, tukapendana na akawa mchumba wangu; siwezi kuwaambia ndugu zangu.