Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahah! Aisee 😂

Basi nipo tayari pia kusaidiwa hayo magogo na hao wajuzi wa hizo kazi
 
Hahahaha, mi nakujua vema mdogo wangu, nawashangaa watoto wa uswahilini wanavyolazimisha kumpata mtoto wa geti kali mboga saba full kujisevlia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni wale ukija kwetu unakutana na kibao cha,ONYO:KUNA MBWA MKALI NDANI[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…