Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nikweli bro ulinzi muhimu kuimarishwa, ata mimi sasa hivi naona kabisa nahitaji beki kama Kalidou Koulibaly maana clean sheet naipata kwa tabu sana siku hizi [emoji38]
Ulinzi wa Koulibaly ni wa muhimu sana bro, ujue siku hizi mlinzi ana thamani sana, kuwa makini tu usije chukua mlinz kama yule wa liver,, uchochoro ule [emoji23][emoji23]
 
Ni kweli bro,ni muda wa vijana kuonesha vitu vyao..

Moto wa Inter unauonaje msimu huu bro?combination ya Conte na Lukaku inanitia presha
Hiyo presha sio kwako tu ata hao Bibi vizee wa Torin wanaipata na istoshe ushindi wao umekua wa tabu sana siku hizi.....

Inter wapo vizuri bro naona kabisa wamedhamiria kutoa ushindani wa kweli pale Italy, Lukaku anaelewana na wenzie pale mbele pia namuona ni mtu mwenye furaha zaidi na hana presha kubwa kama alipokua zamani
 
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji92]

Surround yourself with
the dreamers and the doers,
the believers and the thinkers,
but most of all,
surround yourself with those
who see the greatness within you,
even when you don’t see it yourself.

— Edmund Lee

[emoji92]
Good night fam[emoji179][emoji179]
 
Sana aise, nawaona kabsa Inter wamerudi kwenye form, Bibi vizee wa Torin wako na presha sana..kumbuka game ya Inter na Barcelona uefa hii, inter waliupiga mwingi tu na wakiwa ugenini bado

Upinzani sasa umeongezeka,tulizoea Napoli pekee, ila kwa kasi hii ya Inter ya msimu huu, naona kabsa Conte anataka kukomesha ufalme wa Juve..

Lukaku ana furaha sana bro, japo anapambana na vikwazo vya ubaguzi lakn unaona kabsa ni mwenye furaha akicheza ndani ya Inter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…