Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nawakumbusha jamani.
Idodomya ya kijani eeeh[emoji443][emoji444][emoji441][emoji445][emoji445][emoji344]Sasa hapo Jangwani ni wapi?
Wanyakyusa kwa mbwembwe bana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakazi wake sasa ndo tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]SYB hili ndo mbeya.
Jiji la kijani..hatuutafuti ukijani kwa nguvu
Acha kufananisha tukuyu na sehemu za ajabu[emoji1787]
Muombee na aliyekutia katika matatizo. Nadhani huyo ndiyo wa muhimu zaidi. Amekukomaza kifikra, kimtazamo na kifalsafa.Namuombea kwa bidii bila kuchoka aliyenisaidia wakati wa matatizo
Imani yangu bado si ya kiwango hicho.Muombee na aliyekutia katika matatizo. Nadhani huyo ndiyo wa muhimu zaidi. Amekukomaza kifikra, kimtazamo na kifalsafa.
Hawa wasukuma kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Wakazi wake sasa ndo tatizo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1261725
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]Imani yangu bado si ya kiwango hicho.
Nifundishe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nifundishe
Ili Nisikie
Ili Niamini