Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Subiri nakutafutia mafile yako ya wasukuma [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1261740
Kesho Nina wewe [emoji1787]
Omba Mungu usiwepo humu
Subiri nakutafutia mafile yako ya wasukuma [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1261740
Ipi hiyo?Hahah! Hapana bro kwanza naanzaje sasa? 😁
Nakuona unaendelea vyema hapa kunaassist unataka kujipigia wacha nione maendeleo kwanza
Tupo pamoja Anne.Subiri nakutafutia mafile yako ya wasukuma [emoji23]
Kesho Nina wewe [emoji1787]
Omba Mungu usiwepo humu
Imani yangu bado si ya kiwango hicho.
Tupo pamoja Anne.
Shwari?[emoji137]
Simpo sana. Nitazima data tu halafu we utahangaika na mafaili yako weee. Nikija kurudi kimyaa kama vile hakuna kilichotokea. Na mafaili ya Wasukuma ninayo ya kutosha. Ukihitaji nyongeza sema nikusaidie. Wanyakyusa bana [emoji16][emoji16][emoji16]Subiri nakutafutia mafile yako ya wasukuma [emoji23]
Kesho Nina wewe [emoji1787]
Omba Mungu usiwepo humu
And those who tried to take advantage in difficult times
Aisee kumbe ishakuwa jumatano, jumatano ikawe yenye baraka kwako pia [emoji120][emoji120][emoji120]Wapendwa. Nyote mkawe na Jumatano njema, tulivu na yenye mibaraka tele. Mkumbuke pia kutabasamu na ku(ji)cheka; na kusaidia wale wenye uhitaji kwa kadri ya mibaraka yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1261868