Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Aisee, sasa si watangaze tu biashara...wengine tuko tayari kuuza kwa hiyari
Aisee, sasa si watangaze tu biashara...wengine tuko tayari kuuza kwa hiyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Simpo sana. Nitazima data tu halafu we utahangaika na mafaili yako weee. Nikija kurudi kimyaa kama vile hakuna kilichotokea. Na mafaili ya Wasukuma ninayo ya kutosha. Ukihitaji nyongeza sema nikusaidie. Wanyakyusa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
☺☺☺Acha tu ndugu yangu, imebidi niimalishe ulinzi wa kutosha 😃😃
Mimi mzimaShwari?
Vijana wakisukuma sio?Nawakumbusha jamani.
Tuwe makini huko mtaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1261716
Imeanza lini?Idodomya ya kijani eeeh[emoji443][emoji444][emoji441][emoji445][emoji445][emoji344]
[emoji397][emoji344][emoji350]idodomya yetu,watanzania[emoji443][emoji443][emoji443][emoji441][emoji450][emoji446]
Bro 😂😂😂😂😂Usiku wa vitumbua vitamu vinene vya moto vyenye mafuta mafuta vilivyoumuka [emoji7]
View attachment 1261744
KitambooImeanza lini?
Vijana wakisukuma sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Nakusalimia sister [emoji137]Aisee kumbe ishakuwa jumatano, jumatano ikawe yenye baraka kwako pia [emoji120][emoji120][emoji120]
Nilimmiss Sana sister wangu.,napishana Naye Mara nyingi hapa.Mbona sisi wengine hutusalimii
Nilimmiss Sana sister wangu.,napishana Naye Mara nyingi hapa.
Hata nyie nawasalimu pia .
Na lile jua? Wee usinitanie 😂😂Kitamboo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kumbe kuna njia humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na lile jua? Wee usinitanie [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idodomya ni ardhi stahimilivu Sana..pamoja na jua lakini bado imeng'ang'ana kuwa kijani..huu ni ujasiri wa Hali ya juu Sana.