Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Subiri nakutafutia mafile yako ya wasukuma [emoji23]
Kesho Nina wewe [emoji1787]
Omba Mungu usiwepo humu
Simpo sana. Nitazima data tu halafu we utahangaika na mafaili yako weee. Nikija kurudi kimyaa kama vile hakuna kilichotokea. Na mafaili ya Wasukuma ninayo ya kutosha. Ukihitaji nyongeza sema nikusaidie. Wanyakyusa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wapendwa. Nyote mkawe na Jumatano njema, tulivu na yenye mibaraka tele. Mkumbuke pia kutabasamu na ku(ji)cheka; na kusaidia wale wenye uhitaji kwa kadri ya mibaraka yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1261868
Aisee kumbe ishakuwa jumatano, jumatano ikawe yenye baraka kwako pia [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…