Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idodomya ni ardhi stahimilivu Sana..pamoja na jua lakini bado imeng'ang'ana kuwa kijani..huu ni ujasiri wa Hali ya juu Sana.
Nambie dogoWe kadada
Jiji letu dodoma ya kijani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kijani hamna
Jiji letu dodoma ya kijani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nambie dogo
Nipo mbona.Mbona kimya sana?? Uko wapi eti??
Kijani green.. CCM Ni Nini?[emoji14]Kumbe unamaanisha kijani ccm
Aah wapi? Nov hii? Panakuwaga na vumbi la hatari na kijani ya kuokota iliyochanganyikana na kaki πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idodomya ni ardhi stahimilivu Sana..pamoja na jua lakini bado imeng'ang'ana kuwa kijani..huu ni ujasiri wa Hali ya juu Sana.
Eti kaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...serikali inalazimishia dodoma kuwa kijani lakini imeshindikana.Aah wapi? Nov hii? Panakuwaga na vumbi la hatari na kijani ya kuokota iliyochanganyikana na kaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti kaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...serikali inalazimishia dodoma kuwa kijani lakini imeshindikana.
Huu upepo wa dodoma unaweza jikuta umepanda daladala ya sehemu usiyoenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upepo mixer vumbiii, we ile vumbi mti gani utakubali uwe wa kijani? ππEti kaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...serikali inalazimishia dodoma kuwa kijani lakini imeshindikana.
Huu upepo wa dodoma unaweza jikuta umepanda daladala ya sehemu usiyoenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upepo mixer vumbiii, we ile vumbi mti gani utakubali uwe wa kijani? ππ
Sema me naipenda hivyo hivyo...unakuta jua Kali kinoma lakini mtu huhisi joto ' nguvu ya upepo hiyo πππ
Ukiwa na upara kichwani unaweza kuhisi unayeyuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Upepo mixer vumbiii, we ile vumbi mti gani utakubali uwe wa kijani? [emoji23][emoji23]
Sema me naipenda hivyo hivyo...unakuta jua Kali kinoma lakini mtu huhisi joto ' nguvu ya upepo hiyo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi we mtoto amekufundisha nani maneno lakini?
Nilishawai kuwa huko miaka 3 iliyopitaUpo dodoma kumbe
ππππ jua la Dom likasome kwa jua la DSMUkiwa na upara kichwani unaweza kuhisi unayeyuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jua linawaka utadhani tupo na jua dodoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dom jua+upepo..unaweza jikuta umepoteza fahamu njiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jua la Dom likasome kwa jua la DSM