Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unazungumzia yoghurt ipi TH? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Kwa hiyo kwa kula yoghurt kutakusaidia mwana dada kupata virutubisho muhimu mwilini. Gramu 10 za yoghurt inatosha kabisa kwa siku ambayo ina kiasi cha “1.4 micrograms” ya vitamini ambayo ni sawa na asilimia 60 ya virutubisho ambavyo mrembo anahitaji kwa siku.
[emoji23][emoji23][emoji23] bro
Eeh tuambie sasa tunakula kwa utaratibu upiAnza kwa kula yoghurt ingawa haishibishi ila ina vitamini vingi kama B5 na B12. Pia chanzo cha kupatikana kwa madini kama potassium, phosphorous, riboflavin, iodine, zinc katika mwili wako.
Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema hana uhakika kama atagombea tena Ubunge mwakani ila atafanya maamuzi akiwa mapumzikoni December.
_
January alikua akimjibu mmoja ya followers wake Twitter aliemuandikia ‘natumai mwaka 2025 nitakuona ukiwa Mgombea Urais” ambapo alimjibu kwa kusema ‘sina uhakika na hilo, sina hata uhakika kama nitagombea Ubunge tena mwaka ujao’
"Kwa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kinatakiwa chombo huru kusimamia uchaguzi huu na ili uchaguzi mkuu wa 2020 nao uwe wa huru na haki, tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi.” - Askofu Benson Bagonza.