Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa hiyo kwa kula yoghurt kutakusaidia mwana dada kupata virutubisho muhimu mwilini. Gramu 10 za yoghurt inatosha kabisa kwa siku ambayo ina kiasi cha “1.4 micrograms” ya vitamini ambayo ni sawa na asilimia 60 ya virutubisho ambavyo mrembo anahitaji kwa siku.
 
Unazungumzia yoghurt ipi TH? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Arudi darasani siasa bado zipo na umri wake bado mdogo
 
Hakuna hata kimoja kitakachopatikana kati ya hivyo.
Bara la Afrika ni agharabu kuvipata vitu vya aina hiyo huku ukiwa umekaa ofisini ukipulizwa na kiyoyozi
"Kwa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kinatakiwa chombo huru kusimamia uchaguzi huu na ili uchaguzi mkuu wa 2020 nao uwe wa huru na haki, tunahitaji Tume Huru ya Uchaguzi.” - Askofu Benson Bagonza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…