Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahhah, last born mnadeka sana Jamani! Upo timu moja na king[emoji16]
Afadhali sisi malast born tuliokulia vijijini kwa sababu hatukupata hata muda wa kudeka. Kimbembe ni watoto wa kishua akina King. Hawa hata wakiona ugali umepikwa siku hiyo makelele yake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG-20191115-WA0010.jpeg
 
Back
Top Bottom