moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante
Poleni mlio kwenye daladala...
Poleni mlio kwenye daladala...
Mungu atupe jioni njema...
Aisee hadi wewe ulitekwa?Wengi wametekwa na wasiojulikana[emoji23][emoji23]
...na ugali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] aisee, nimependa hiyo na.....
Jazak Allah... Salama bro?Leo ni Ijumaa
Tujitahidi tukaabudu
Habari ya uzima bro? Mambo yanaendaje pande hizo?Naona watu mmekimbia uzi. Kuna nini? Yaani Binti Mpole kula ban na nyie mmejilisha ban?
Uko poa ..Uzi wetu huu vipi
Miss u
5:5617:56
U mzima? Siku imeendaje huko?Abee