kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,999
- 2,582
Watu wengine wana bahati sana.
Afadhali sisi malast born tuliokulia vijijini kwa sababu hatukupata hata muda wa kudeka. Kimbembe ni watoto wa kishua akina King. Hawa hata wakiona ugali umepikwa siku hiyo makelele yake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahhah, last born mnadeka sana Jamani! Upo timu moja na king[emoji16]
Mimi pia nimeshangaa kila nikirefresh hamna kituNaona watu mmekimbia uzi. Kuna nini? Yaani Binti Mpole kula ban na nyie mmejilisha ban?
Ngoja wikendi ianze. Watarudi. Kwema huko?
Wikendi poa kabisa. Kuna mvua na baridi ya kufa mtu. Naona itakuwa ni ndani tu na chai kwa sana...na mvinyo...na ...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Kwema sana, za weekend?
Watu wengine wana bahati sana.
Kwani watu mmeenda wapi?
Wakulima wote poleni..