Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afadhali sisi malast born tuliokulia vijijini kwa sababu hatukupata hata muda wa kudeka. Kimbembe ni watoto wa kishua akina King. Hawa hata wakiona ugali umepikwa siku hiyo makelele yake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ngoja wakishua mwenyewe aje athibitishe hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…