Hakuna mwaminifu hapoWe kalia kulinda vya mwenzio tu
Aaaah sio wewe no sio mimi,ni carba anajibebisha kwa Cole Williams. Lala tu mama,kesho tuna kazi nzitoEti nini, mbona sielewi
Likes kwa likesAmna like za bure,toa like upate like.
Kwema mkuu teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaah sio wewe no sio mimi,ni carba anajibebisha kwa Cole Williams. Lala tu mama,kesho tuna kazi nzito
Sijakupa like mavi yamefanyaje fafanuaMavi
Mzee msemakweli huyoMzee wa kuharibu huyo
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mkuu pole sana.Mazizi yako nakulindia usijali
Hakuna shida mkuu navinjari na mkuu Quigley hapaMkuu naona uko chuga,ndio home uko. Usisahau kutembelea viwanja kama Mile stone pale utapata nyama choma iliyoenda shule. Na yale mambo yetu,tembelea picnic pub iko karibu na office za kilimanjaro. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mweee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ila libaba hili?Kichwa yupo na carba