Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Afadhali ban imeisha. Bila shaka umepata hata muda wa kupumzika na hii JF. Ban zina faida yake pia...You have been banned for the following reason: Matusi kwenye mada hii: Utacheka: Shabiki wa Diamond amvamia Alikiba na kumpatia penseli yake. Your ban will be lifted on Nov 21, 2019 at 3:00 AM.
Bro shukrani kwa kunishtua. Pita pita zangu kama anonymous nikakutana na post yako. Ban ilikua ndefu balaa
Naona haijaisha ila nimesamehewa.Afadhali ban imeisha. Bila shaka umepata hata muda wa kupumzika na hii JF. Ban zina faida yake pia...
Karibu tena....[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naona haijaisha ila nimesamehewa.
Faida za ban
1. Inatunza MB
2. Mawazo yanaelekea kwenye uzalishaji pesa zaidi
3. Inafurahisha kuwa kifungoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shukran kwa carbaAisee. Kampeni ya Carba ya #Free Numbisa bila shaka imezaa matunda mods wakaachilia...
Hiyo pointi ya 2 imenikumbusha kauli ya mtu mmoja hapa aliyewahi kusema kuwa eti Hakuna mtu mwenye pesa anayeshinda kwenye uzi wa likes
Huyu samaki naye huyu. Alijuaje kuwa hayo matunda yanaliwa na hayana sumu? Akiwa majini huko anayaonaje? Maajabu kabisa !Tazama namna samaki huyu alivyoruka sarakasi ili kujipatia matunda yaliyo jirani na maji.
Samaki huyu aliyegoma kulala njaa anapatikana Brazil katika bwawa la Bonito.
Nikutakie mwanzo mwema wa wiki na utafutaji mwema wa riziki, Usikate tamaa.View attachment 1264321
Woii[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1264322
Hehehehe marahabaa,za masiku?Wakishua nakusalimiaa
πππππSiku moja chukua CV yako, Kisha angalia sehemu ya REFEREE wako, Wapigie simu jifanye kama wewe ni Mkurugenzi wa Kampuni unataka kujua kuhusu wewe usikie maoni yao.
Unaweza kukuta Mchawi wa Maisha yako yupo kwenye CV yako.
Utanishukuru Baadae [emoji5]
Duniani kuna maajabu mengiHuyu samaki naye huyu. Alijuaje kuwa hayo matunda yanaliwa na hayana sumu? Akiwa majini huko anayaonaje? Maajabu kabisa !
Na unavyoipenda hiyo marahaba πHehehehe marahabaa,za masiku?