capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Poleni mlio kwenye mapumziko
Poleni wasafiri wooote
Poleni wasafiri wooote
Wakulima poleni..
15:50
Baada ya ibada atapelekwa katika makaburi walikozikwa wazazi na ndugu zake kwa ajili ya kuweka mataji ya maua.
Baada ya ibada atapelekwa katika makaburi walikozikwa wazazi na ndugu zake kwa ajili ya kuweka mataji ya maua.
Wikendi hii hakuna EPL? Mashabiki mbona kimya?