Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAIDA ZA KUSIKILIZA MUZIKI
ZIPO faida nyingi za kusikiliza musiki hii ni kutokana na ukuaji wa teknolojia na faida hizo ni
1.kupunguza msongo wa mawazo
2.kubadili mood kwani muziki una hisia za furaha,au huzuni
3.ku-refresh mind
4,kuhimiza jambo fulani
5.kukumbusha mambo/matukio fulani mfano utoto wako,ujana wako,hisia zako,na mapenzi
6.muziki n burudani
 
sifa za rafik mwema
1.awe mshauri mwema
2.awe anashirikiana nawewe nyakati zote ,shida na raha
3.anasikiliza maon yako pia
4.ushirikiano katika kazi
5.awe mpole na mwenye upendo wa dhati
6.mkarimu aliye tayari kwa lolote
7.asiwe na faida kwake tu
8.ajitoe kuendana na umuhimu wa kitu
9.aweze kukubadili (nguvu ya maneno)
10.angalau awe na uwezo mkubwa zaid yako kidgo (asiwe tajiri mno kushinda wewe kwan
akikuzidi sana atakuonea pia hamtafaidka wote)
 
.
IMG_20191117_103224_070.jpeg
 
Back
Top Bottom