FAIDA ZA KUSIKILIZA MUZIKI
ZIPO faida nyingi za kusikiliza musiki hii ni kutokana na ukuaji wa teknolojia na faida hizo ni
1.kupunguza msongo wa mawazo
2.kubadili mood kwani muziki una hisia za furaha,au huzuni
3.ku-refresh mind
4,kuhimiza jambo fulani
5.kukumbusha mambo/matukio fulani mfano utoto wako,ujana wako,hisia zako,na mapenzi
6.muziki n burudani