Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1573847486776.jpeg
 
Huyu ndiye Sewa Haji, aliyekuwa mfanyabiashara jijini Dar as salaam, aliyejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na tabia yake ya kujali shida za wengine kiasi mpaka wakazi wa Dar wakaweka jina lake kwenye mtaa mmoja kwenye kata ya Kisutu.
Pia jina lake limetumika kwenye moja ya majengo ya hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu Muhifadhi mahali pema peponi ndugu yetu huyu.
AMIN[emoji120][emoji120][emoji120]
FB_IMG_1573999776813.jpeg
 
Msanii aitwaye Shamsa Ford ameweka wazi mahari yake kwa yeyote aliye tayari kumnyakua.
Amesema Mahari yake ni shilingi za kitanzania milioni 20 pamoja na gari.
Haya wale wanaopenda kuoa watu maarufu fursa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1265489
Ya kwake ina tiviii ndani ama? Halafu ukute ishakazwa na mabaharia. Shwaiiinii !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Pweza ni samaki kwa kuwa apatiakana baharini.
Tujuavyo viumbe karibu vyote ndani ya maji ya chumvi ni samaki, tofauti na kambale anayepatikana kwenye maji baridi ambaye haeleweki vema kuwa ni samaki au mdudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nani kakudanganya kuwa pweza ni samaki?
 
Huyu ndiye Sewa Haji, aliyekuwa mfanyabiashara jijini Dar as salaam, aliyejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na tabia yake ya kujali shida za wengine kiasi mpaka wakazi wa Dar wakaweka jina lake kwenye mtaa mmoja kwenye kata ya Kisutu.
Pia jina lake limetumika kwenye moja ya majengo ya hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu Muhifadhi mahali pema peponi ndugu yetu huyu.
AMIN[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1265496
Amen. Nilishawahi kulazwa Sewa Haji. Kumbe ndiyo huyu muungwana? Baraka zake huko aliko.
 
Mabaharia huwaita watu kama yeye ni makwasu kwasu, gumegume, zulia, jamvi, busati nk.
Hata hivyo kuna mabaharia wabishi wanaopenda watu wa aina hiyo [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ya kwake ina tiviii ndani ama? Halafu ukute ishakazwa na mabaharia. Shwaiiinii !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Huyu ndiye Sewa Haji, aliyekuwa mfanyabiashara jijini Dar as salaam, aliyejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na tabia yake ya kujali shida za wengine kiasi mpaka wakazi wa Dar wakaweka jina lake kwenye mtaa mmoja kwenye kata ya Kisutu.
Pia jina lake limetumika kwenye moja ya majengo ya hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu Muhifadhi mahali pema peponi ndugu yetu huyu.
AMIN[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1265496
Nilishawahi kuandika makala kuhusu huu utaratibu mzuri. Kwa wenzetu huko Marekani utakuta majengo mengi katika vyuo vikuu ni majina ya watu. Ukiulizia utaambiwa ni wanafunzi waliosoma hapo na sasa wamerudi kutoa shukrani kwa kutoa mamilioni ili majengo yajengwe na kupewa majina yao. Lengo ni kuendeleza legacy. Mtu anaweka akiba maisha yake yote ili siku ya siku naye atoe mchango wake hata kama ni chumba kimoja tu katika jengo la umma kipewe jina lake. Na majimbo mengi yana utaratibu wa kuoanisha kiasi sawa cha pesa. Yaani milionea akitoa dola milioni 10 kujenga jengo litakaloitwa SYB Institute of Economics jimbo nalo ni lazima litoe milioni 10. Matokeo yake linajengwa jengo kabambe la dola milioni 20. Utaratibu huu umewasaidia sana kuwa na vyuo vikuu vikubwa, imara na vya kisasa. Siyo sisi kila tajiri na fisadi anawaza tu kuficha pesa zake...
 
Back
Top Bottom