moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na Mimi utanibebea nini kutoka dar?
[emoji3526][emoji3526]kweli hivi vitu huku kwetu havipo..Nitakubebea samaki wa baharini aitwaye Pweza, Papa, Ngisi, Prawns, Lobster na pia nitakuletea Korosho, najua vitu hivyo havipatikani Rungwe
Nani kakudanganya kuwa pweza ni samaki?Nitakubebea samaki wa baharini aitwaye Pweza, Papa, Ngisi, Prawns, Lobster na pia nitakuletea Korosho, najua vitu hivyo havipatikani Rungwe
Ya kwake ina tiviii ndani ama? Halafu ukute ishakazwa na mabaharia. Shwaiiinii !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Msanii aitwaye Shamsa Ford ameweka wazi mahari yake kwa yeyote aliye tayari kumnyakua.
Amesema Mahari yake ni shilingi za kitanzania milioni 20 pamoja na gari.
Haya wale wanaopenda kuoa watu maarufu fursa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1265489
Nani kakudanganya kuwa pweza ni samaki?
Amen. Nilishawahi kulazwa Sewa Haji. Kumbe ndiyo huyu muungwana? Baraka zake huko aliko.Huyu ndiye Sewa Haji, aliyekuwa mfanyabiashara jijini Dar as salaam, aliyejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na tabia yake ya kujali shida za wengine kiasi mpaka wakazi wa Dar wakaweka jina lake kwenye mtaa mmoja kwenye kata ya Kisutu.
Pia jina lake limetumika kwenye moja ya majengo ya hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu Muhifadhi mahali pema peponi ndugu yetu huyu.
AMIN[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1265496
Ya kwake ina tiviii ndani ama? Halafu ukute ishakazwa na mabaharia. Shwaiiinii !!! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nilishawahi kuandika makala kuhusu huu utaratibu mzuri. Kwa wenzetu huko Marekani utakuta majengo mengi katika vyuo vikuu ni majina ya watu. Ukiulizia utaambiwa ni wanafunzi waliosoma hapo na sasa wamerudi kutoa shukrani kwa kutoa mamilioni ili majengo yajengwe na kupewa majina yao. Lengo ni kuendeleza legacy. Mtu anaweka akiba maisha yake yote ili siku ya siku naye atoe mchango wake hata kama ni chumba kimoja tu katika jengo la umma kipewe jina lake. Na majimbo mengi yana utaratibu wa kuoanisha kiasi sawa cha pesa. Yaani milionea akitoa dola milioni 10 kujenga jengo litakaloitwa SYB Institute of Economics jimbo nalo ni lazima litoe milioni 10. Matokeo yake linajengwa jengo kabambe la dola milioni 20. Utaratibu huu umewasaidia sana kuwa na vyuo vikuu vikubwa, imara na vya kisasa. Siyo sisi kila tajiri na fisadi anawaza tu kuficha pesa zake...Huyu ndiye Sewa Haji, aliyekuwa mfanyabiashara jijini Dar as salaam, aliyejitwalia umaarufu mkubwa kutokana na tabia yake ya kujali shida za wengine kiasi mpaka wakazi wa Dar wakaweka jina lake kwenye mtaa mmoja kwenye kata ya Kisutu.
Pia jina lake limetumika kwenye moja ya majengo ya hospitali ya Muhimbili.
Mwenyezi Mungu Muhifadhi mahali pema peponi ndugu yetu huyu.
AMIN[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1265496
Imeenda vizuri,vipi kwenu huko arusha?
Kwema Mungu anasaidia.Imeenda vizuri,vipi kwenu huko arusha?
Siyo Afrika tu. Ni popote kuliko na mabahariaMapenzi ya kiafrika ni shida tupuView attachment 1265495